UMUHIMU WA KITUNGUU SWAUMU KATIKA NDOA
Kumekuwapo na tatizo la wanaume wengi kuwahi kufika kileleni, huku kitendo hicho kikichanganywa na sababu mbalimbali ikiwamo mawazo na sababu nyinginezo. Sifa kuu zinazokifanya kitunguu swaumu kuwa na uwezo na faida nyingi mwilini : -Vina uwezo wa kusababisha kutanuka kwa mishipa ya damu (vasodilation) kwa kubadilisha polysulfides zilizopo ndani yake kuwa hydrogen sulfides kwenye seli nyekundu za damu. -Husaidia kuzibiti kiwango cha sukari mwilini kwa kushusha kiwango cha kemikali ya homocystine na hivyo kupunguza madhara ya kisukari. -Ukivikata vipande vidogo vidogo hivi (chop), vitunguu swaumu hutoa kemikali iitwayo kwa kitaalamu kama ‘Allicin’ ambayo ni dawa dhidi ya bakteria, na ‘Phytoncide’ ambayo huua fangasi mbalimbali mwilini. JINSI YA KUANDAA HICHO KITUNGUU : 1. Chukuwa kitunguu swaumu kimoja. Kigawanyishe katika punje punje 2. Chukua punje 6 3. Menya punje moja baada ya nyingine. 4. Kisha vikatekate (chop) vipande vidogo vidogo sana na kisu na uache hivyo ka...