JE UNAZIFAHAMU FAIDA ZA KULA PARACHICHI KWA WANAUME?

Parachichi ni tunda linalostawi maeneo mbalimbali duniani ikiwa ni pamoja na hapa nchini kwetu Tanzania. Kwa hapa Tz, Parachichi hupatikana kwa wingi zaidi maeneo ya nyanda za juu na kwenye hali ya hewa ya Ubaridi wa wastani. 

Watafiti wa tibalishe wanaliona tunda la mparachichi kama nyumba ya virutubisho (Nutrients powerhouse) kutokana na viini lishe vilivyomo kwenye parachichi kama ifuatavyo;-

*Vitamin B6
*Vitamin B12
*Vitamin A
*Vitamin K
*Vitamin E
*Vitamin D
*Vitamin D2
*Vitamin D3
*Vitamin C
*Fatty acid 
 *Potassium (mg)485
*Sodium (mg)7
*Thiamine (mg)0.07
*Riboflavin (mg)0.13
*Niacin (mg)0.5
*Caffeine
*Omega 3
*Maji (g)73.22
*Mafuta (g)14.66
*Wanga (g)8.53
*Nishati (Kcal)160
*Fiber- nyuzinyuzi (g)6.7
*Sukari (g) 0.66
*Protini (g)2
*Madini ya Calcium (mg)12
*Madini ya chuma (mg)29
*Madini ya zinc (mg)0.64
*Madini ya magnesium (mg)29
*Phosphorus (mg)52

★Virutubisho vyote hivyo hupatikana kwenye nusu kipande cha parachichi au kwenye gramu 100 ya parachichi.

FAIDA ZA KULA PARACHICHI KWA WANAUME.


★Husaidia kuimarisha mfumo wa uzazi kutokana na uwepo wa vitamin E, ambayo hutoa kinga dhidi ya sumu mwilini (Antioxidant) hasa kwa wanaume wenye changamoto ya upungufu wa nguvu za kiume.

★Husaidia kuongeza hamu ya tendo la ndoa. Hii ni kutokana na uwepo wa nishati, Omega 3 na vitamin B6 ambayo huchochea hisia au hamu ya tendo la ndoa na kuufanya uume kusimama kwa muda mrefu (sex drive, libido booster and longer lasting on bed).

★Huongeza ubora wa mbegu za kiume na kuzifanya ziwe na uwezo wa kutungisha mimba (fertility).

★Husaidia kubalansi (balance) mzunguko wa damu, kutokana na uwepo kwa wingi wa Madini ya potassium hivyo kuzuia shambulio la moyo (heart attack).

★Husaidia mmeng'enyo wa vyakula kuwa mzuri na wenye ufanisi.

 ★Huimarisha mifupa kutokana na uwepo wa Madini ya calcium.


Comments

Popular posts from this blog

JINSI YA KUTUMIA CHUMVI KUPIMA KAMA UNA/ANA MIMBA

MAAJABU YA TENDO LA NDOA 18+

UMUHIMU WA KITUNGUU SWAUMU KATIKA NDOA