MADHARA YA KUTUMIA DAWA ZA KUONGEZA UWEZO WA KUFANYA MAPENZI/SEX (VIAGRA au VEGA)

Viagra au vega,ni dawa inayotumika sana miongoni mwa wanaume kwa lengo la kuongeza uwezo wao wa kufanya mapenzi ( sex),dawa hizi mara nyingi zinatumiwa na watu wenye matatizo katika mfumo wa uzaziyaani wasioweza kusimamisha vizuri kiungo cha uzazi lakini pia, imekua ikitumika hata kwa watu wasio kua na tatizo hilo ila anaitumia kwaajili ya kumkomoa mwanamke flani na wengine hupenda kuiga vile wanavyofanya waigiza sinema za ngono (porn graph).
bila kutambua madhara yake makubwa watu wanajiingiza kuzimeza dawa hizi.

KWA LEO NAPENDA KUKUFAHAMISHA  MADHARA YAKE:

Mtu anaetumia viagra bila ushauri wa dactari huku akiwa na matatizo mengine ya kiafya kama pressure yuko hatarini kupoteza uhai wake.

Kadri mtu anavyotumia Viagra ndivyo tatizo linavyozidi kua baya zaidi, kwasababu viagra inamfanya asimamishe kwa muda mfupi hivyo akitaka kufanya mapenzi siku ingine lazima azimeze tena dawa hizi hali hii ya kuzimeza kila wakati inamfanya kua torelance ( tegemezi hali ya kumfanya azidi kuongeza dozi yake ili apate nguvu zinazomtosheleza ) mwishowa siku dawa hizi hutengeneza sumu mwilini na kuua kabisa nguvu za kiume.

Mtu anaetumia Viagra yuko hatarini kupata ukiziwi.

Mtu anaetumia viagra ,yuko hatarini kupoteza uwezo wa kuona hii ni kutokana kwamba dawa hizi uua baadhi ya viachocheo vinavyofanya kazi ya kusafirisha mwanga na picha kuelekea katika mfumo wa fahamu kuharibiwa na dawa.

Comments

Popular posts from this blog

JINSI YA KUTUMIA CHUMVI KUPIMA KAMA UNA/ANA MIMBA

MAAJABU YA TENDO LA NDOA 18+

UMUHIMU WA KITUNGUU SWAUMU KATIKA NDOA