JINSI YA KUTUMIA CHUMVI KUPIMA KAMA UNA/ANA MIMBA

Ni kawaida kushangaa namna kipimo hiki kinavyofanya kazi kama huu ni wakati wako wa kwanza kujua kuhusu kipimo hiki.

 Ukweli ni kuwa chumvi, kiungo ambacho kila mtu yu'nacho nyumbani kwake- inaweza kuwa kipimo bora cha ujauzito.


MAHITAJI.


• kikombe chepesi ama chupa 
•chumvi kiasi kidogo tu
•mkojo wako wa kwanza wa asubuhi

JINSI YA KUPIMA MIMBA NA CHUMVI-

1. kojoa kwenye kichupa au kikombe chako. (kumbuka kutumia mkojo wa asubuhi kwani huwa na matokeo bora zaidi.

2. Weka nusu kijiko cha chumvi kwenye mkojo.

3. Changanya vitu hivi viwili vizuri.

4. Jipe dakika 3 hadi 5

5. Yatazame mabadiliko.

KUBAINI MATOKEO.


✔️Ukiona vitu vilivyoko kwa chupa lako vimeanza kuwa rangi ya maziwa, hiyo ni ishara kuwa una mimba.

❌Kama mkojo umebaki hivyo bila kutoa sauti yoyote ama kubadili rangi kuwa ya maziwa, ni wazi kuwa hamna cha mimba.

Comments

Popular posts from this blog

MAAJABU YA TENDO LA NDOA 18+

UMUHIMU WA KITUNGUU SWAUMU KATIKA NDOA