UMUHIMU WA KITUNGUU SWAUMU KATIKA NDOA

Kumekuwapo na tatizo la wanaume wengi kuwahi kufika kileleni, huku kitendo hicho kikichanganywa  na sababu mbalimbali ikiwamo mawazo na sababu nyinginezo.

Sifa kuu zinazokifanya kitunguu swaumu kuwa na uwezo na faida nyingi mwilini:
 
-Vina uwezo wa kusababisha kutanuka kwa mishipa ya damu (vasodilation) kwa kubadilisha polysulfides zilizopo ndani yake kuwa hydrogen sulfides kwenye seli nyekundu za damu.

-Husaidia kuzibiti  kiwango cha sukari mwilini kwa kushusha kiwango cha kemikali ya homocystine na hivyo
kupunguza madhara ya kisukari.

-Ukivikata vipande vidogo vidogo hivi (chop), vitunguu swaumu hutoa kemikali iitwayo kwa kitaalamu kama ‘Allicin’ ambayo ni dawa dhidi ya bakteria, na ‘Phytoncide’ ambayo huua fangasi mbalimbali mwilini.

JINSI YA KUANDAA HICHO KITUNGUU:

1. Chukuwa kitunguu swaumu kimoja. Kigawanyishe katika punje punje

2. Chukua punje 6

3. Menya punje moja baada ya nyingine.

4. Kisha vikatekate (chop) vipande vidogo vidogo sana na kisu na uache hivyo katika hewa kwa dakika 10.

Baada ya hapo meza kama unavyomeza dawa na maji nusu lita kila unapoenda kulala. Namna nyingine nzuri zaidi ni kuviweka ndani ya kikombe kimoja (robo lita) cha mtindi freshi koroga vizuri na unywe na hii itakusaidia kupunguza harufu mbaya ya kitunguu swaumu.

Comments

Popular posts from this blog

JINSI YA KUTUMIA CHUMVI KUPIMA KAMA UNA/ANA MIMBA

MAAJABU YA TENDO LA NDOA 18+