MAAJABU YA TENDO LA NDOA 18+

Hii imewalenga zaidi watu walio kwenye ndoa na kuwaandaa wanaotaka kuingia kwenye ndoa.

1. Mwanaume hutoa mbegu hadi milioni 300 kwa tendo moja tu la ndoa, lakini mbegu moja pekee hutumika kuzalisha mtoto inapokutana na yai la mwanamke lililotayari.

2.Kufika kileleni kwa mwanamke ni msaada mkubwa kiafya kwake. Huweza kumsaidia mwanamke kupunguza hatari zaidi ya kupata magonjwa ya moyo, kupooza, kansa ya matiti pamoja na msongo wa mawazo.

3. Mwanamke anapokuwa kileleni hukaa takribani sekunde 20 hadi 14, tofauti na wastani wa mwanamme ambaye hukaa kwa wastani wa sekunde 6 tu. Hata hivyo, tofauti na mwanamke, mwanaume anapokuwa kileleni hupitiwa na giza zito katika ubongo wake kwa sekunde takribani tatu (blackout).

4. Tendo la ndoa hupunguza maumivu ya kichwa.
Utafiti uliofanywa na wa wataalam wa saikolojia na uhusiano kutoka Chuo Kikuu cha Munster nchini Ujerumani (2013) umebaini kuwa tendo la ndoa husaidia kupunguza maumivu ya kichwa. Utafiti huo Ulibaini kuwa mtu mmoja kati ya watano waliofanya mapenzi wakiwa na maumivu ya kichwa, alimaliza akiwa hana maumivu hayo tena

5. Kwenda haja ndogo muda mfupi kabla ya tendo la ndoa ni hatari zaidi kwa afya.

Hata hivyo, ni salama zaidi kwenda haja ndogo muda mfupi tu baada ya kufanya tendo la ndoa kwasababu inasaidi ku-flash bakteria kwa kiaisi kikubwa waliotokana na tendo la ndoa (sio virusi vya ukimwi).

Comments

Popular posts from this blog

JINSI YA KUTUMIA CHUMVI KUPIMA KAMA UNA/ANA MIMBA

UMUHIMU WA KITUNGUU SWAUMU KATIKA NDOA