Posts

TATIZO LA UKE KUWA MKAVU, CHANZO NA MATIBABU

Image
CHANZO CHA TATIZO Tatizo la uke kuwa mkavu linawakumba sana watu waliofikia ukomo wa hedhi (Menopause) Kutokana na sababu kwamba mwanamke anapofikia kipindi hiki mwili unapunguza au kuacha kutengeneza hormone hii ya estrogen. πŸ‘‰Kuzaa na kunyonyesha. Kipindi hiki mwili unazalisha hormone ya maziwa (prolactin hormone) ambayo pia inazuia kuzalishwa kwa hormone ya estrogen. πŸ‘‰Matibabu ya saratani. (Tiba ya mionzi na dawa za saratani) πŸ‘‰Kutolewa mifuko ya mayai( ovaries) UCHUNGUZI Unapopata muwasho,au maumivu wakati wa tendo la ndoa na kuona uke wako ni mkavu vyema ukafika hospitali au ukawasiliana na daktari.Daktari atakuuliza maswali muhimu ili kubaini chanzo cha tatizo na atakufanyia vipimo na uchunguzi  na atajua dawa gani inafaa. MATIBABU Matibabu yaliyozoeleka katika hili tatizo la ukavu ukeni ni kwa kutumia Estrogeni za kupaka au kupachika ukeni (topical estrogen), Pia estrogen inaweza kuwa kaitka miundo mbali mbali kama ifatavyo: Ring (estring) Hii inakua ni kitu cha duara kama ...

KUMBEMENDA MTOTO NI NINI?

Image
Kumbemenda mtoto ni mtoto kutokua vizuri ikidhaniwa kutokea kutokana na mama anayenyonyesha mtoto kukutana kimapenzi na mwenzi wake hasa kipindi mtoto bado ni mchanga na ananyonyeshwa. Hii ni dhana iliyopo katika jamii mbalimbali, na inadhaniwa hutokea kwa sababu mtoto kunyonya maziwa yenye mbegu za kiume zilizoingia kwenye maziwa baada ya kufanya mapenzi. JE, KUNA UKWELI WOWOTE? HAPANA. kiukweli na kiutaalamu dhana hii si sahihi kabisa! kufanya mapenzi na mwenzi wako baada ya kujifungua hakuwezi kusababisha afya ya mtoto kuzorota. mwanamke anapokutana na mwanaume kimapenzi, shahawa huingia kwenye tumbo la uzazi na kubaki huko. haziingii kwenye damu wala haziwezi kufika kwenye maziwa. NI BAADA YA MUDA GANI MWANAMKE ALIYEJIFUNGUA ANAWEZA KUFANYA MAPENZI? unaweza kuanza kufanya mapenzi tena baada ya maji maji yenye damu ya uke (lochia) kuacha kutoka ambayo ni kama wiki 3 mpaka 4 baada ya kujifungua, na wewe kujisikia vizuri na kuwa tayari kushiriki mapenzi. pia, mnaweza kusubiri mpaka wi...

UNAWEZAJE KUYAFAHAMU MAUMBILE YA MWANAUME/MWANAMKE??

Image
Kama wewe ni mwanamke au mwanaume na unataka kuchunguza maumbile ya mume/mke wako mtarajiwa si lazima umvulie chupi/boxer ndiyo ujue kuwa ana ukubwa au udogo kiasi gani,kama hujapata size yako utawavulia wangapi? CHUNGUZA MIGUU YAKE (Kwa wanaume)  Tazama kidole gumba cha mguu wake,ukiona ana dole kubwa basi ndiyo maumbile ya uume wake yanaashiria ukubwa ule wa kidole gumba cha mguu, na kikiwa ni kidogo au kati kwa kati au wembamba na unene basi na maumbile yake ni hivyohivyo. CHUNGUZA MIDOMO YAKE (Kwa wanawake) Ili mwanaume ujue ukubwa wa maumbile ya mwanamke unapaswa uchunguze mdomo wake ndiyo utakaokupa picha ya maumbile yake kwani ukubwa au udogo wa mdomo wake basi ndiyo picha hiyohiyo ya maumbile yake, chunguza kama hiyo kitu itakufaa au laa. ⚡maumbile ya mwanamke yamegawanyika ktk sehemu 3 1.UKE MNENE WENYE KINA KIFUPI [Huyu yeye atapenda uume mwembamba na mfupi] 2.UKE ULIOLALA MWEMBAMBA WENYE KINA KIREFU [Huyu yeye atapenda uume mnene na mrefu] 3.UKE MNENE [Huyu yeye atapenda...

JITIBU NYUMBANI KWAKO (TIBA MBADALA)

Image
1. KIUNGULIA πŸ‘‡πŸΎπŸ‘‡πŸΎ Aliyepatwa na kiungulia ale nyanya 1 asubuhi na jioni1 kitaondoka 2. KUZUIA KUHARISHA πŸ‘‡πŸΎπŸ‘‡πŸΎ Kamua maji ya chungwa lita1 Kunywa glass1 kutwa mara 3 Kuharisha kutakata. 3.HAMU YA KULA πŸ‘‡πŸΎπŸ‘‡πŸΎ Andaa juice ya machungwa usichanganye na chochte Kunywa glass moja siku mara3 mpk iishe Hamu ya kula itakuja 4. KIDONDA SUGU(kisichosikia dawa) πŸ‘‡πŸΎπŸ‘‡πŸΎ Yaponde maua ya mchungwa mpaka yawe laini kisha weka kwenye kidonda baada ya kukiosha kitapona. 5. MAGONJWA YA NGOZI πŸ‘‡πŸΎπŸ‘‡πŸΎ Osha sehemu iliyoathirika ponda maua ya mchungwa na pakaa sehemu iliyoathirka kutwa mara 2 patapona 6. MAPUNYE NA FANGASI πŸ‘‡πŸΎπŸ‘‡πŸΎ Chukua majani laiini ya mchungwa yaponde mpk yalainike kisha pakaa palipo athirika. 7. VIDONDA VYA TUMBO πŸ‘‡πŸΎπŸ‘‡πŸΎ Anika maganda ya parachichi mpaka yakauke vizuri Yatwange upate unga Chota unga huo vijiko 2 changanya na asali safi vijiko 2 kula asubuhi na jioni kwa wiki1. 8. TUMBO LA HEDHI πŸ‘‡πŸΎπŸ‘‡πŸΎ Chemsha majani ya mparachichi Kunywa glass1 asubuhi na jioni siku7. 9. ANA...

FAIDA ZA MAZIWA MWILINI

MAZIWA hutupatia angalau vitamini zote kama vitamini A, D, E na K. Pia yana madini ya  calcium. Hujenga na kulainisha ngozi Vitamini na virutubisho vilivyomo ndani ya maziwa ni muhimu kwa ajili ya ngozi bora. Huimarisha meno Maziwa ni chanzo bora cha madini ya kalisiamu yaani Calcium. Pia huzuia kutoboka na kuoza kwa meno. Kalisiamu hufyonzwa na miili yetu kukiwa na vitamini D. Huimarisha mifupa Watoto  wanahitaji kunywa maziwa ili kuimarisha ukuaji wao. Pia watu wazima wanahitaji kunywa maziwa ili kulinda na kuimarisha mifupa yao dhidi ya magonjwa kama vile udhaifu wa mifupa au kitaalamu  Osteoporosis . Maradhi haya huzuiliwa kwa kalisiamu ipatikanayo kwenye maziwa na ambayo hufyonzwa kutokana na uwepo wa vitamini D. Kujenga misuli Maziwa yanachangia katika ukuaji wa misuli. Hili ni kutokana na protini zinazopatikana kwenye maziwa. Wanariadha wengi hunywa maziwa baada ya mazoezi. Hii ni kwa ajili ya kuupa mwili virutubisho vya kutosha kwa ajili ya kujijenga tena. Maziwa ...

UMUHIMU WA KITUNGUU SWAUMU KATIKA NDOA

Kumekuwapo na tatizo la wanaume wengi kuwahi kufika kileleni, huku kitendo hicho kikichanganywa  na sababu mbalimbali ikiwamo mawazo na sababu nyinginezo. Sifa kuu zinazokifanya kitunguu swaumu kuwa na uwezo na faida nyingi mwilini :   -Vina uwezo wa kusababisha kutanuka kwa mishipa ya damu (vasodilation) kwa kubadilisha polysulfides zilizopo ndani yake kuwa hydrogen sulfides kwenye seli nyekundu za damu. -Husaidia kuzibiti  kiwango cha sukari mwilini kwa kushusha kiwango cha kemikali ya homocystine na hivyo kupunguza madhara ya kisukari. -Ukivikata vipande vidogo vidogo hivi (chop), vitunguu swaumu hutoa kemikali iitwayo kwa kitaalamu kama ‘Allicin’ ambayo ni dawa dhidi ya bakteria, na ‘Phytoncide’ ambayo huua fangasi mbalimbali mwilini. JINSI YA KUANDAA HICHO KITUNGUU : 1. Chukuwa kitunguu swaumu kimoja. Kigawanyishe katika punje punje 2. Chukua punje 6 3. Menya punje moja baada ya nyingine. 4. Kisha vikatekate (chop) vipande vidogo vidogo sana na kisu na uache hivyo ka...

MADHARA YA KUTUMIA DAWA ZA KUONGEZA UWEZO WA KUFANYA MAPENZI/SEX (VIAGRA au VEGA)

Viagra au vega,ni dawa inayotumika sana miongoni mwa wanaume kwa lengo la kuongeza uwezo wao wa kufanya mapenzi ( sex),dawa hizi mara nyingi zinatumiwa na watu wenye matatizo katika mfumo wa uzaziyaani wasioweza kusimamisha vizuri kiungo cha uzazi lakini pia, imekua ikitumika hata kwa watu wasio kua na tatizo hilo ila anaitumia kwaajili ya kumkomoa mwanamke flani na wengine hupenda kuiga vile wanavyofanya waigiza sinema za ngono (porn graph). bila kutambua madhara yake makubwa watu wanajiingiza kuzimeza dawa hizi. KWA LEO NAPENDA KUKUFAHAMISHA  MADHARA YAKE: Mtu anaetumia viagra bila ushauri wa dactari huku akiwa na matatizo mengine ya kiafya kama pressure yuko hatarini kupoteza uhai wake. Kadri mtu anavyotumia Viagra ndivyo tatizo linavyozidi kua baya zaidi, kwasababu viagra inamfanya asimamishe kwa muda mfupi hivyo akitaka kufanya mapenzi siku ingine lazima azimeze tena dawa hizi hali hii ya kuzimeza kila wakati inamfanya kua torelance ( tegemezi hali ya kumfanya azidi kuongeza d...