JITIBU NYUMBANI KWAKO (TIBA MBADALA)
1. KIUNGULIA
ππΎππΎ
Aliyepatwa na kiungulia ale nyanya 1 asubuhi na jioni1 kitaondoka
2. KUZUIA KUHARISHA
ππΎππΎ
Kamua maji ya chungwa lita1
Kunywa glass1 kutwa mara 3
Kuharisha kutakata.
3.HAMU YA KULA
ππΎππΎ
Andaa juice ya machungwa usichanganye na chochte
Kunywa glass moja siku mara3 mpk iishe
Hamu ya kula itakuja
4. KIDONDA SUGU(kisichosikia dawa)
ππΎππΎ
Yaponde maua ya mchungwa mpaka yawe laini kisha weka kwenye kidonda baada ya kukiosha kitapona.
5. MAGONJWA YA NGOZI
ππΎππΎ
Osha sehemu iliyoathirika ponda maua ya mchungwa na pakaa sehemu iliyoathirka kutwa mara 2 patapona
6. MAPUNYE NA FANGASI
ππΎππΎ
Chukua majani laiini ya mchungwa yaponde mpk yalainike kisha pakaa palipo athirika.
7. VIDONDA VYA TUMBO
ππΎππΎ
Anika maganda ya parachichi mpaka yakauke vizuri
Yatwange upate unga
Chota unga huo vijiko 2 changanya na asali safi vijiko 2 kula asubuhi na jioni kwa wiki1.
8. TUMBO LA HEDHI
ππΎππΎ
Chemsha majani ya mparachichi
Kunywa glass1 asubuhi na jioni siku7.
9. ANAYEKOJOA KITANDANI
ππΎππΎ
Chemsha ndevu za mahindi anywe kikombe cha chai asubuhi na jioni siku 3-7
10. ASIYEONA VIZURI
ππΎππΎ
Achemshe mizizi ya mahindi chuja kunywa glass1 Kutwa mara 2 kwa siku 3.
You can follow @biturojr.
Comments
Post a Comment