UNAWEZAJE KUYAFAHAMU MAUMBILE YA MWANAUME/MWANAMKE??

Kama wewe ni mwanamke au mwanaume na unataka kuchunguza maumbile ya mume/mke wako mtarajiwa si lazima umvulie chupi/boxer ndiyo ujue kuwa ana ukubwa au udogo kiasi gani,kama hujapata size yako utawavulia wangapi?

CHUNGUZA MIGUU YAKE (Kwa wanaume) 

Tazama kidole gumba cha mguu wake,ukiona ana dole kubwa basi ndiyo maumbile ya uume wake yanaashiria ukubwa ule wa kidole gumba cha mguu, na kikiwa ni kidogo au kati kwa kati au wembamba na unene basi na maumbile yake ni hivyohivyo.

CHUNGUZA MIDOMO YAKE (Kwa wanawake)

Ili mwanaume ujue ukubwa wa maumbile ya mwanamke unapaswa uchunguze mdomo wake ndiyo utakaokupa picha ya maumbile yake kwani ukubwa au udogo wa mdomo wake basi ndiyo picha hiyohiyo ya maumbile yake, chunguza kama hiyo kitu itakufaa au laa.

⚡maumbile ya mwanamke yamegawanyika ktk sehemu 3

1.UKE MNENE WENYE KINA KIFUPI [Huyu yeye atapenda uume mwembamba na mfupi]

2.UKE ULIOLALA MWEMBAMBA WENYE KINA KIREFU [Huyu yeye atapenda uume mnene na mrefu]

3.UKE MNENE [Huyu yeye atapenda uume mkubwa ndo anahisi utamfikisha]

⚡Katika aina hizo 3 ndani yake zimegawanyika ktk maumbile tofauti tofauti, yaani nyingine ipo kwa juu kidogo, nyingine kwa chini kidogo, nyingine katikati, ipo iliotuna, ipo iliobana n.k

⚡ Mara nyingi inapokuwa mume na mke ni tofauti wengi hujikuta wanatafuta njia mbadala


You can follow @biturojr.

Comments

Popular posts from this blog

JINSI YA KUTUMIA CHUMVI KUPIMA KAMA UNA/ANA MIMBA

MAAJABU YA TENDO LA NDOA 18+

UMUHIMU WA KITUNGUU SWAUMU KATIKA NDOA